Taasisi inayo jihusisha na kutoa ushauri wa masuala ya mahusiano inatangaza nafasi za kazi ya MTAALAMU MSHAURI WA MAHUSIANO.
SIFA ZA MWOMBAJI:
1.
Awe mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka
25 hadi 45.
2.
Awe na elimu ya Chuo Kikuu.
3.
Au awe na elimu ya kidato cha sita pamoja na kozi inayo mwezesha kufanya kazi ya USHAURI
WA MAHUSIANO.
4.
Awe na uwezo wa kutoa Ushauri Nasaha kuhusu mahusiano kwa watu walio katika rika zote
,jinsia zote, dini zote na hali zote.
5.
Awe na ufahamu, ujuzi na uzoefu wa kutosha kuhusu masuala mbalimbali yanayo husu mahusiano pamoja na ujinsia.
6.
Awe , maridadi sana, msafi anaye jiamini na mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza.
7.
Awe na uwezo wa kuzungumza kwa ufasaha lugha za Kiswahili na Kiingereza.
8. Akiwa ameshawahi kufanya kazi katika taasisi yoyote kama MTAALAMU MSHAURI
WA MAHUSIANO, itakuwa ni sifa ya ziada itakayo muongezea nafasi ya kupata kazi hii.
. Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe .
Barua pepe yetu ni : neemarecruitmentagency@gmail.com.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe
06/09/2013.
Application
Instructions:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe . Barua pepe yetu ni :
neemarecruitmentagency@gmail.com
No comments:
Post a Comment