Kampuni inayo
jishughuliosha na TIBALISHE NA UTAFITI,
inatangaza nafasi za kazi za
kujitolea kama MTAFITI MSAIDIZI kwa
waombaji wenye sifa zifuatazo.
1.
Umri wa kuanzia miaka 23 hadi 35.
2. Awe na Elimu ya Chuo Kikuu.
2. Awe na Elimu ya Chuo Kikuu.
3.
Uwezo wa kujielezea kwa Kiswahili na
kiingereza.
4.
Awe mkaazi wa Dar Es salaam.
5.
Awe maridadi, mwenye afya njema, mwaminifu,
mchapakazi na anayejituma sana.
6. Kwa walio na basic knowledge na masuala ya utafiti watapewa kipeumbele.
6. Kwa walio na basic knowledge na masuala ya utafiti watapewa kipeumbele.
MAJUKUMU:
·
Kufanya tafiti kwa kukusanya taarifa za
watu wenye matatizo mbalimbali ya
kiafya wanaoishi kwenye kata zote za
jiji la Dar Es salaam.
MALIPO:
Malipo mazuri
na yenye kuridhisha.
IDADI YA NAFASI:
·
Nafasi Saba
.
Nafasi Saba
.
MWISHO
WA KUPOKEA MAOMBI:
Mwisho wa
kupokea maombi ni tarehe 28 AGOSTI 2013.
KUANZA
KWA KAZI:
Kazi itaanza rasmi tarehe 02 Septemba 2013.
Tuma maombi
yako kupitia barua pepe yetu:
neemarecruitmentagency@gmail.com
Maombi
yaelekezwe kwa :
Mkurugenzi Mtendaji,
Neema
Recruitment Agency,
S.L.P 35988
Dar Es salaam.
N.B:
i. Maombi yote
yatumwe kwa njia ya barua pepe yetu :
neemarecruitmentagency@gmail.com
ii. Tafadhali
usipige simu, wewe tuma maombi yako kwa njia
ya barua pepe.
Application
Instructions:
MAELEKEZO
HAYO HAPO JUU YAZINGATIWE
No comments:
Post a Comment